Friday, May 08, 2009
NIMEDHAMIRIA KUKUZA MTANDAO HUU WA REAL ESTATE,
KWA KUWAALIKA HATA MADALALI WOTE NCHINI KUTUMA NYUMBA ZAO ZA KUPANGA AU KUKODISHA / VIWANJA NA N.K. ZIKIWA NA CONTACT ZAO. BUREEEE. KUFANYA HIVI NI KUSAIDIA WATEJA WANGU KUPATA VIWANJA/ NYUMBA IWE YA KUPANGA AU KUNUNUA BILA USUMBUFU WOWOTE.
WOOTE MNAKARIBISHWA.
http://www.amalhouses.blogspot.com/

Napenda kuwatangazia wadau wote wa mtandao huu kwamba kuna kiwanja kinauzwa kipo kijitonyama, kina hati miliki, banda la vyumba vitatu. kiwanja kipo maeneo mazuri mtaa mzuri ambao magari yanaingia muda wowote.
kwa mawasiliano zaidi piga
+255 655 360 733 mimi ndiye mmiliki siyo dalali nami sihitaji dalali
.

NYUMBA INAUZWA, BEI SHILINGI MILIONI SABINI (TZS 70 MILLION), IKO ENEO LA NYAMANORO MWANZA, MTAA WA SELEMANI NASSORO, KANDO YA NJIA YA KWENDA AIRPORT, INA VYUMBA VINNE (4), CHUMBA KIKUBWA CHENYE CHOO/BAFU, JIKO, SEBULE, CHUMBA CHA KULIA CHAKULA, WATER HEATER, TANKI LA MAJI LA AKIBA, FENSI YA UKUTA NA GETI, GARAGE YA GARI NA SEHEMU KUBWA YA KUTOSHA.
WASILIANA NA: 0787-112-808 AU 0754-711-147
I have a more than 15 room house in Morogoro area (Mlapakolo) just about five/ten minutes from the main bus stand,
I want to advertise it for someone to rent it and run,
Price ranges (about 800-1000usd) but its negotiable depending on ability of payment of an individual,
The minimum payment is two years preferably (with special arrangment, one can be given up to six/twelve month free run*),
For further information they can contact : 0784-311-056
Attached are pictures of the house I asked you to find a joint partner in the development of the House।
We are also thinking of selling it if at all we get a serious buyer.As I told you the Plot is about 3140 sq meter.
It has a big house as apperared in the picture and a servant house.It has it own garden and a wall fence.
The same Plot has a house separate from the main one which has three bedroom ,a living room ,dining and a kitchen.It has a kithen outside with a store.
This is also fenced with a wall and has it’s own access.
On the rear of the two house there is a shamba full of banana and trees and it is near by Themi River.It is big enough for one to deveop as perhis/her wish.
In fnront of the two houses there a large garden with ample space.
The Plot has a tittle Deed for 99years and it is owned by one family.