Tuesday, July 15, 2008

Nyumba hii iko Mikocheni/

Inakaa 2 different persons inapangishwa kwa TSh. 450,000/- kwa mwezi
Ina vyumba 2 vya kulala kimoja ni masterbed room, sitting room kubwa kitchen, public toilet na inauwezo wa kupaki magari 4. secured area.
Haiko mbali na main road (rented/imeshapangishwa)