inapangishwa/ for rent
Big Studio yenye kila kitu, sofa, dinning table, fridge, jiko la gasi vyombo vya kupikia, Flat TV. Nzuri sana na ina nafasi ya kutosha.
Ziko 3 in one building. kuna security guard.
For long term 600,000/-Tshs for short term 700,000/-Tshs. (Malipo hayo ni kwa kila kitu kama Maji, umeme na house keeper)
kuna house keeper atakua akisafisha 3 times a week.