Monday, August 11, 2008

NYUMBA HII IKO MWENGE KARIBU NA UDSM HOSTEL







very big studio, with full finished Inapangishwa kwa USD 450 per month
Ina AC, Ina Fridge, soffa, bed, dinning table, big kabat na vingine vingi. House keeper atafanya usafi mara 3 kwa wiki.
Pia ina chumba 1 chini sitting room, dinning, toilet kwa USD 300 per month.
kiko full furnished, with TV fat screen set, na vyomba vya kupikia, jiko la gas na n.k
call for booking