nyumba inauzwa Mil 20Tshs. Iko Kibamba dk 15 kutembea kwa miguu kutoka barabara ya Morogoro road. Ina vyumba 3 1 master bedroom,sitting room, Dining, Kitchen na public toilet. Bado finishing.